Spread the love Welcome to WordPress. This is your first post. Edit or delete it, then start writing! Post navigation Standard Bank Bets Big on East Africa as the Continent’s Next Global Growth Engine
Mimi ndiye Deputy president wa Ruto 2027! Wewe Kindiki jipange urudi huko interior. Hao Mabaradhuli wengine wa ODM waachane kuanzisha farangati lenye hawaliwezi. Ruto ashaniidhinisha. Feb 16, 2026
Sasa tumefanya venye Rais alituambia, tumemtoa Sifuna from SG position. Waende watengeneze chama yao. Lazima kiti ya Deputy president Nipewe, Kindiki itabidii ajipange. Feb 16, 2026
Wewe Gachagua hii Kenya sio ya Wakikuyu! Kama mnajisikia muko wengi na munajiweza, unda nchi yenu na mutoke Kenya! Hapa sheria inafanya Kazi. Tutaadhibu makosa ya uhaini yote kama ya Gachagua Feb 16, 2026
Edwin Sifuna ni mtoto wangu kama Raila Jnr ama Winnie Odinga! Siwezi mtupa! ODM itabaki kwa mikono ya vijana na musisahau mimi ni bibi ya baba. Hao wengine wanangojea baba watoto anakufa ndio wanaanza kutafuta power wanafaa kufikiria tena. Feb 16, 2026